Google PlusRSS FeedEmail

MAMA YAKE CHRISS BROWN AJAWA NA HOFU

Siku chache zilizopita nyumba ya Chriss Brown ilivamiwa na watu wanahofiwa kuwa ni majambazi na kuchukuua mali zake kadhaa ikiwemo mkwanja wa maana.

Huku bado polisi wakiwa wanaendelea kuchunguza tukio hilo na kuwatafuta wahalifu hao, Mama yake Criss Brown, Bi Joyce Hawkins anaamini watu waliofanya hivyo ni marafiki wa karibu na mwanaye.

Bi Joyce Hawkins amesema ni wazi kwamba tukio la kuvamiwa kwa nyumba ya mwanaye limefanywa na watu wake wa karibu.

Mwandinshi wa mtandao wa TMZ ameripoti kwamba mpaka sasa polisi wanasaka taarifa za kundi la Blood, ambalo pia linashtumiwa kuhusika na tukio hilo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging