Google PlusRSS FeedEmail

WILLOW SMITH KAONESHA UJUZI WAKE

 Mtoto wa kiume wa Will Smith, Jaden Smith ameonekana akifurahia siku ya michezo wa kuonyesha uwezo wake wa kucheza mchezo wa kuteleza na kibao cha matairi katika mtaa wa Calabasas Jijini California.


Akionyesha kipaji chake hicho ambacho kilikuwa hakijulikani muigizaji huyo na muimbaji mwenye umri wa miaka 17 alionekana akiwa kifua wazi wakati akiinjoy jua huku akicheza mchezo huo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging