Google PlusRSS FeedEmail

MKE WA TIMBERLAND AOMBA TALAKA KWA MARA 2

Baada ya kutambulishwa kama muandaaji msaidizi wa tamthiliya ya Empire, inakadiliwa “producer” na mwanamuziki Timberland amefikisha utajiri wa dola za Kimarekani million 85.

Wakati dunia ikijuzwa taarifa hii nzuri kuhusu rapper huyu, mkewe Monique Mosley amefungua “file” la kudai taraka kwa mumewe kwa mara nyingine tena.

Monique amefungua taarifa na kesi hii june 22, mtandao wa Bossip unaripoti kuwa sababu moja wapo ya mwanamke huyu kwenda mara ya pili kwenye viombo vya sharia, ni baada ya baba watoto wake kulamba dili jipya kutoka Empire.

Awali alifungua kesi ya kudai talaka yake mwaka 2013, akihitaji Timberland amuhudumie mtoto waliopata pamoja, bima ya maisha, gharama na mahitaji ya ada ya shule binafsi, makazi pamoja na fedha ya “bata” kipindi cha “summer.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging