Google PlusRSS FeedEmail

PENZI KATI YA RUSSELL WILSON NA CIARA LAZIDI KUFANA

                               
Russell Wilson ambaye ni Mpenzi wa msanii wa rnb Ciara amesema hata baada ya miezi miwili kwenye mahusiano ya motomoto yeye na Ciara hawajakutana kimwili

Kwenye interview aliyofanyiwa na kanisa la San Diego Rock mjini California, Russell amesema wanaimani kuwa ikiwa muda umefika Mungu atawajulisha tu na ndio wanachotegemea zaidi kwenye mahusiano yao.

Wilson amesem “Kama umaweza kuishi na kumpenda mtu bila ngono basi kweli unampenda huyo mtu”.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging