Google PlusRSS FeedEmail

WASTARA NAYE YUMO NDANI KATIKA UBUNGE

         wastara Juma

HUKU jamii ikipata mshangao kwa watangaza nia kwa mwaka huu, kulingana na utitiri kupitia nafasi ya wagombea nafasi ya Uraisi mwigizaji nyota katika tasnia ya filamu Bongo Wastara Juma yeye anasema yupo njiapanda katika nafasi anayotaka kugombea ubunge viti maalum.


“Natarajia kugombea Ubunge kuwakilisha Mkoa wangu wa Morogoro kupitia viti maalum, lakini kwa sasa naweza kusema kuwa kama nipo njiapanda kuna makundi mawili la vijana na walemavu lakini muda ukifika nitaamua na kutangaza nia yangu rasmi,”Stara.

Stara ni mmoja kati ya wasanii walionyesha nia hasa ya kugombea Ubunge kupitia viti maalum nje ya jiji la Dar es Salaam, kutoka katika tasnia ya filamu  ambao hadi sasa ni Irene Uwoya Tabora mjini na Wema Sepetu mkoani Singida wote wanagombea kupitia CCM.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging