Google PlusRSS FeedEmail

RAPPER WA OUTLAWS AFARIKI DUNIA

Hussein Fatal ambaye anajulikana zaidi kama “member” kundi la Outlaws , ambalo liliasisiwa na mkali “the late” Tupac amefariki dunia katika ajali ya gari.

Taarifa kutoka kwenye kurasa za kijamii za kundi hilo, hazijaeleza wazi mazingira ya ajali hiyo zaidi ya kuripoti kifo cha “rapper huyo”.

Fatar amefanya “mikwaju” mobb na Tupac, lakini uliomtambulisha vizuri zaidi ni “Hit em up” ambao amerap katika “Verse” ya pili.

Amefariki akiwa na umri wa miaka 34, ameacha mke na watoto kadhaa.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging