R.I.P MZEE OJWANG Posted on by Unknown Aliyekuwa mmoja wa wasisi wa tamthilia ya vichekesho Vitimbi kupitia,KBC Benson Wanjau aka Mzee Ojwang Hatari amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 78.Mauti hayo yamemkuta akiwa amelazwa Kenyatta National Hospital..