Google PlusRSS FeedEmail

T.I ABADILISHA JINA LA ALBAMU YAKE

Star wa muziki wa Hip Hop duniani Clifford Harris T.I, ameamua kubadilisha jina la “his next” album kwa sababu za kibiashara zaidi.

Akizungumza na mtandao wa Movie Web ”, T.i zamani aliiita album hiyo “unapologetically gangsta” na sasa ameamua kuipa tittle ya “The Dime Trap”.

Katika line nyingine mkali huyo wa ATL, amedai Album hiyo itakuwa na maadhi ya “trap muzik”.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging