WIZKID AJA KIVINGINE
Mkali wa hit single ya Ojuelegba, star boy Wizkid yupo South Africa kwa ajili ya ‘kushoot’ kichupa wa mkwaju wake mpya aliyomshirikisha Dj Mapholisa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wiz ame ‘post’ picha akiwa Location Cape Town na kuipa ‘caption’ #shooting with dj Mapholisa.
Mapholisa ameshawahi kufanya ‘Collabo’ na wabongo flava Chege na Temba.