Google PlusRSS FeedEmail

RAPPER WA UGANDA AWASIFU WASANII WAKITANZANIA KUUSHIRIKIANORapper anayeiwakilisha vyema Uganda, na mshindi wa msanii bora wa Hip Hop Channel O 2013 Navio amewapongeza wasanii wa Tanzania kwa ushirikiano mkubwa wanaooneshana unaopelekea Bongo Flava kukuwa kwa kasi kila kukicha.

Akitumia ukurasa wake wa Instagram Navio, amedai ‘love’ ambayo ipo kwa wasanii wa Bongo ni kubwa kiasi ambacho angetamaani nchi nyingine za Africa Mashariki ziige mfano huo.

“#TeamNAVIO. The TZ industry is going to go to new heights be a use of togetherness. The support they show each other and EA artists as a whole cannot be over-stated. Lets all make a push to do the same in the region. Big up to my brother Diamond!” ameandika rapper huyo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging