Google PlusRSS FeedEmail

WOLPER MBIONI KUPATA MTOTOBAADA ya msanii wa muziki nchini Diamond Platnum kupata mtoto wa kike hatimaye Jacqueline Wolper atangaza rasim kuwa ni mjamzito na anatarajia kuitwa mama hivi karibuni, hali hiyo imeambatana na furaha ya  ujio wa mtoto wa Diamond pamoja na Zari..

Katika ukurasa wake wa @Instagram Wolper amewapongeza baba na mama "Tiffah huku akiweka ujumbe kuwa naye yupo njiani kupata mtoto na imebaki miezi mitano tu naye aweze kuitwa mama." aliandika Wolper.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging