DIAMOND PLATNUMZ APATA MTOTO WA KIKE
Staa wa Bongo Fleva ambaye jina lake limebeba uzito mkubwa Afrika, Diamond Platnumz anayo furaha kushare na sisi hii good news… Post yake Instagram inasomeka hivi >>> ‘My mom’s face it’s enough to Express how i feell… Welcome to the world @princess_tiffah >>> Sura ya mama yangu inatosha kueleza ni kiasi gani najiskia ndani ya Moyo wangu… karibu kwenye ulimwengu@princess_tiffah‘ >>>> @diamondplatnumz