Google PlusRSS FeedEmail

BROWN KUJA NA ALBAMU MPYA NOVEMBA

                              

Mwanamuziki machachari kutoka Marekani Criss Brown anatarajia kutoa albamu mpya mwezi ijao
Albamu hiyo iliyopewa jina la mwanae ''Royalty'' inatarajiwa kutoka  Novemba 27 mwaka huu,Taarifa aliyoiandika kwenye ukurasa wake wa instagram Brown alisema kuwa albamu hiyo itakuwamoto wa kuotea mbali tofauti tofauti na iliyopita ya x

Mwimbaji huyo alisema kuwa maandalizi yamekamilika na albamu hiyo amewashirikisha na albamu hiyo amewashirikisha baadhi wasanii wanaotamba katika medani ya muziki Duniani

Brown lisema kuwa katika albamu hiyo nyimbo  mbili za Liquor na zero zimeanza kusikika kwa mashabiki ,lakini zingine hazikuwai kusikika sehemu yoyote

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging