Google PlusRSS FeedEmail

HEMEDI ''SIFIKIRII KUREKODI VEDEO NJE YA TANZANIA KWA SASA

                                
Msanii wa filamu na mwimbaji wa wa muziki wa kizazi kipya Hemed Suleiman PHD,amesema hajawai kufikiria kufanya Video Nje ya Nchi,kama wafanyavyo baadhi ya wasanii hapa Nchini

Hemedi ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake ''Memories'' alisema anachofikiria ni kushirikiana na wasanii kutoka nje na si kufanya vedeo nje ya Nchi wakati hapa nchini kuna mazingira bora ya kufanyia video zake

Hemed anatarajia kuachia video yake mpya  ya  ''Memories''aliyoifanyia katika mazingira ya hapa nchini,chini ya usimamizi wa studio ya Downvilla Records

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging