Google PlusRSS FeedEmail

ALBUMU YA ADELLE YAINGIA PLATINUM IKIWA NA SIKU 3 SOKONINgoma yake ya ‘hello’ ndiyo ngoma yake iliyofanya vizuri zaidi kipindi hiki.Hali iliyopelekea Albamu ya Adelle kuingia 'Platinum' ikiwa na siku 3 tu sokoni

Sasa wakati akisheherekea mafanikio hayo, muimbaji huyo wa kike album yake 25 imekwenda Double Platinum kwa kuuza zaidi ya nakala milioni 2.3 tangu itoke Tarehe 20 mwezi huu wa 11.

Hii inakuwa Album ya pili kuuza nakala zaidi ya milioni 2 ndani ya wiki, tangu mwaka 1991 kupitia Nielsen Music.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging