Google PlusRSS FeedEmail

UNAMKUMBUKA KWA LIPI SHARO? IKIWA NI KUMBUKUMBU YA MIAKA 3 YA KIFO CHAKE

Imetimia miaka 3 tangu mpendwa wetu kwenye sanaa Bongo, Hussein ‘Sharo’ Mkiety afariki dunia tarehe kama ya leo mwaka 2012 katika ajali ya gari mkoani Tangu.

Tayari Marehemu Sharo Milionea alishapata hazina ndefu ya mashabiki ndani na nje ya nchi.

Hizi ni video za ‘nyimbo’ zake tatu ambazo zilifanya vizuri zaidi.

1.Chuki Bure akiwa na Dully Sykes.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging