
Aliyewahi kuwa mpenzi wa staa wa Pop,
Justin Bieber, Miranda Kerr. Katika video hiyo aliyoiachia katika mitandao ya kijamii, ilimuonesha Kerr (32) akicheza Wimbo wa Where Are U Now ulioimbwa na Bieber (21).Video hiyo imeanza kuibua maswali miongoni mwa mashabiki wa Kerr kwa kuona kuwa huenda ikawa safari ya kurudiana na Bieber imeiva.







