Google PlusRSS FeedEmail

RICK ROSS AMVISHA PETE LIRA GALORE

                                  
Kuna taarifa za kuvunjika kwa uchumba kati ya Rick Ross na Lira Galore, baada Lira kuonekana akitoka nyumbani kwa rapper huyo akiwa hajavaa pete ya uchumba, na baadae Rozay naye alipost video Snapchat akiwa ameshikilia pete hiyo kitu kilichotoa uthibitisho kuwa huenda kweli uchumba umevunjika.
                
Baadhi ya mashabiki waliocomment wanahisi huenda Rozay alitumia stunt ya kuvunja uchumba ili kupromote album yake mpya ‘Black Market’ inayotarajiwa kutoka mwezi ujao.
                     
Lira ambaye aliwahi kuwa stripper jana amepost video mpya kwenye akaunti yake ya Snapchat ambayo inaonesha amevaa pete ile ile, na hakuwa peke yake, alikuwa na Rozay ambaye anaonekana kapitisha mkono wake katikati ya mapaja ya mrembo huyo na kuweka caption iliyosomeka “Queen”.
This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging