Google PlusRSS FeedEmail

AFANDE AMUA KUTEMA MZUKI SASA NI SIASA NA KILIMO
Rapper maarufu nchini afande sele ameweka bayana kuwa kwa sasa kazi yake ya muziki ameiweka pembeni ,kwa maana ameamua kuhamia kwenye siasa,,Aliongeza kuwa ana hakika mashabiki wa muziki wake hawatomuelewa ila hana jinsi maana kazi ya muziki ameamua kuiweka rasmi pembeni na kwa sasa atakuwa akifanya kazi za chama chake cha ACT Wazalendo na pamoja na kujishughulusha na kilimo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging