Google PlusRSS FeedEmail

RIHANNA KUDONDOSHA ALBAMU MPYA NOV 27

                                                
Taarifa zisizo rasmi zinasema kuwa album mpya ya Rihanna ‘‘Anti World Tour’ inatarajiwa kutoka  Ijumaa hii Novemba  27 mwaka huu..
Album hiyo ya nane itatoka exclusively kupitia mtandao wa Jay Z, Tidal mpaka Dec 4 ndio itaanza kupatikana kwenye platform tofauti tofauti ..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging