List hiyo ambayo imeonekana kugusa watu wengi hasa wapenda muziki wa hiphop,licha ya team tizneez kuzungumza na wasanii wengi wa hiphop na kuonekana kukataa kujibu chochote juu ya list hiyo,lakini kwa msanii Solo Thang yeye imekuwa tofauti maana alitoa mtazamo wake kapitia mtandao wa twitter ambapo alisema”hiyo siyo list ya kwanza kuiona Nikki mbishi pia alifanya yake pia sioni faida ya kufanya yangu.Mc’s wengi kwenye list zao wepesi.It just a matter of opinion katumia fursa yake,kosa ni nyie kumchukulia seriouz kama ni fact au statement kuhusu mziki wa hiphop.Na hiyo list ni opinon yake #Nick wa pili not a statement yaa bongo hiphop kuna zaidi ya nusu akiwemo na yeye mwenyewe hastahili kuwepo.”alisema

Pia katika tamasha la Graffiti event lilifanyaika hivi karibu maeneo ya mikocheni nafasi arts ambalo liliudhuriwa na mc’s wengi wa hip hop mmoja kati mc wa hiphop ambaye hakutaka jina lake liandikwe alisema”dogo amefanya kupata kick so amepata maana amepata interview nyingi.Lakini sidhani kama anajua maana Mc’s kwenye hip hop,tuachie hapo Batro tuzungumze vitu vingine ila kujiweka yeye ni bora hata angekuwa One incredible amefanya watoto wengi tu wa rap nenda kwenye matamasha ya hiphop uliza vijana watakwambia ila tuyaache tufanye yaliyotuleta hapa kwenye Graffiti event.Alisema.
SOURCE: TIZNEEZ