Mkali wa nyimbo za Mahaba toka Zanzibar,Ally Ramadhani Ally aka AT amethibisha kuwa Mapenzi ni mahaba yako imara...Na anatarajia kufunga ndoa wiki ijayo kisiwani Zanzibar."Kitchen Party inafanyika Dar Es Salaam,na ndoa itafanyika Ijumaa ya tarehe 25 March 2011,Zanzibar ikifuatiwa na sherehe aka reception kwenye ukumbi wa Bwawani"
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








