Msanii Michael Ross toka Uganda kwa sasa yupo studio akirekodi track inayoitwa Push.
Single track hiyo amemshirikisha artist mwenzake toka Uganda anajulikana kwa jina la Vamposs,na mwezi wa 6 mwaka huu atakuwa na Concert na Vamposs huko huko Uganda.Track ya mwisho aliyoitoa mwaka jana,Clothes Off inafanya poa sana kweny radio stations za Afrika Mashariki.