Google PlusRSS FeedEmail

KIZUNGUMKUTI YA AUNTY FIFI ITAKUWA SOKON MUDA SI MUDA

Mtayarishaji  na muongozaji wa filamu hapa nchini Tumaini Bigirimana ( Aunty Fifii) anatarajia kuigiza filamu yake ya Kizungumkuti Sokoni hivi karibuni baada ya kumaliza kuitayarisha filamu hii ambayo inaelezea matatizo ya kijamii ipo tayari na taratibu zote kwa ajili ya kuipeleka sokoni imekamilika kwa sasa kinachosubiriwa ni kuanza kuisambaza na kugawa katika maduka.
“Nimekuwa nikifanya utafiti ni jinsi gani tutaweza kuwafikia wateja wa filamu popote walipo na jibu nimelipa, baada ya kupata jibu sasa naamua kuingia sokoni kwa nguvu zote na nikiomba Mungu anitangulie katika kazi yangu, filamu ya Kizungumkuti ni filamu yenye maadili katika jamii yetu lakini pia ni shule kwa wenye ndoa” Alisema Aunty Fifii.
Filamu hii ya Kizungumkuti imewashikisha wasanii nyota kama Zamda Salim, Mzee Makassy, Aunty Fifii pamoja wasanii wengine kibao kwa taarifa zaidi ni kwamba endelea kutembele mtandao ili uje ni lini inatoka..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging