Google PlusRSS FeedEmail

BWANA JOSE CHAMELEONE KATIKA BEEF JINGINE

Jose chameleone ameanzishiwa beef mpya aliyekuwa DJ ambaye kwa sasa naye ni msanii,na Prezidaa wa Dance-Hall Crew...DJ Michael baada ya kutoa diss-track kwa Chemeleone iitwayo Kilimulu.Track hiyo imetoka wiki 2 zilizopita na unamuelezea Jose Chameleone kuwa ni mbinafsi na ana roho mbaya sana..

Na imesemekana mpaka sasa Jose hajajibu chochote kuhusiana na wimbo huo kwani huwa ana kawaida ya kuuchuna tu. Na inasemekana kuwa ugomvi wao umetokana na mwanamke aitwaye Madame Cheri Adyeri,mmiliki wa bar pande za Kabalagala ziitwazo Cafe Cheri na Cheri Royale.

One Response so far.

  1. Anonymous says:

    Being famous isn't easy but i think Jose Chameleone has many fans in east africa but also he is hated by many artist who get to rise to the top recently.. Personaly i enjoy his music and if he has a negative side of him i dont wish to know it. His music is enough for me!!

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging