Mbunge wa Arusha Mjini,Mheshimiwa Godbless Lema-CHADEMA, amedondosha singo yake mpya ambayo inaelezea vurugu na vifo vilivyotokea mkoani Arusha mapema mwaka huu kufuatia maandamo ya CHADEMA yaliyoingia dosari.
Pia ametangaza kuwa ametoa msaada kwa wapiga kura wake wasio na uwezo kuwasaidia gharama za kuwapeleka 'Loliondo kwa Babu' kupata kikombe,na kwa awamu ya kwanza watu 450 watakwenda kwa katika kijiji cha Samunge wilayaniLoliondo kwa Mchungaji Veterani,Ambilikile Mwasapile!Mheshimiwa Lema akiwa ameshikilia CD yenye singo hiyo wakati akiongea na waandishi wa habari jijini Dar-es-salaam