Mkali toka Nigeria,Innocent Idibia aka 2 Face Idibia amefunguka kuwa amechoka kuendelea kuzaa watoto ovyo,japo kwa sasa ana watoto kibao na bado yupo yupo aka hajawahi kuoa tangu azaliwe,ila ana mahusiano na wanawake kila kona! 2 Face kwa sasa ana miaka 35 na alizaliwa September 18,1975 na ana watoto 5 toka kwa wanawake watatu tofauti waitwao Pero,Sumbo na Ann Macaulay. "Natamani ningekua kijana wa miaka 15 na ningejua umuhimu wa kupanga uzazi na nisingekua na watoto wengi hivi tena bila ya kuoa,coz najisikia vibaya kutokana na watoto wengi nilionao ambao hawaendani na umri wangu"
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








