Google PlusRSS FeedEmail

LADY GAGA YUKO KATIKA HATARI YA KUSHITAKIWA

Lady Gaga huenda akashitakiwa kutokana na sinlge yake mpya iitwayo Born This Way.
Kwa mujibu wa Producer anayekwenda kwa jina la Newsen, amefunguka kuwa Lady Gaga kupitia track yake hiyo inayoshika namba 1 kwenye chati za Billboard kati ya nyimbo 100 bora, ni sample ya ngoma aliyowatengenezea bendi ya kinadada toka nchini Korea iitwayo SNSD.
Ngoma ya SNSD inaitwa Be Happy ikiwa ni copy & paste ya Born This Way wa Lady Gaga.Na Producer huyo anadai alipoisikia tu akajua unafanana sana na aliutengeneza yeye,kuanzia uimbaji, mpangilio wa vyombo n.k

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging