Google PlusRSS FeedEmail

SISI KATIKA FILAMU BADO TUPO NYUMA - SINGLE MTAMBALIKE

Msanii na mahiri wa filamu na muigizaji wa siku nyingi katika tasnia hii ya filamu hapa nchini Tanzania amesema  kuwa wasanii wa filamu Tanzania bado kabisa kufikia katika viwango vya uigizaji vinavyotambulika Ulimwenguni ikiwa hata katika hatua za Uongozaji na utayarishaji pia, na hali hii inatokana mazingira ambayo tayari wasanii wameijenga kwao kuwa wanajua sana na hawataki kujifunza.
Wengi wanaamini kuwa kwa jinsi wanavyokubalika kwa watazamaji wetu hapa nyumbani basi kuwa wanajulikana kote Ulimwenguni na wana uwezo wa kushindana na wasanii wengine pengine hata biashara ya filamu za hapa nyumbani zinaweza kuuza kimataifa ni sawa na kujidanganya kwani hata kazi zetu zinafika huko kwa njia za uharamia tu na si halali.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging