Hatimae mwanamuziki nguli wa muziki wa Taarabu asilia Bi Kidude Binti Baraka,ametoka Hospital ya Hindu Mandal alipokuwa amelazwa,akiongea na Pro-24,muuguzi aliyekuwa akimuhudumia mwanamuziki huyo amesema mwanamuziki huyo,alikuwa akisumbuliwa na uchovu ambao umesababishwa na umri mkubwa aliokuwa nao,aliongeza kuwa vipimo vinaonyesha hata tatizo lolote la kiafya na walichokifanya ni kumwekea Drip za maji ili apate nguvu...na ameruhusiwa kutoka hospital hapo...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.