Nicole alijikuta furaha yake ikipotea wakati akifwatilia mashindano hayo yanayohusisha magari yaendayo kasi baada ya kuona gari la mpenzi wake likiwa ni moja ya magari yaliyopata ajali
Lakini mpenzi wake alitoka salamaa katika ajali hiyo jambo ambalo lilimpa faraja Nicole ambaye alikwenda na marafiki zake kushuhudia mashindano hayo