Google PlusRSS FeedEmail

KANYE AMVALISHA KIM NGUO MPYA








Kanye West ameendepea kuonyesha upendo wake kwa mpenzi wake Kim Kardashian baada ya kwenda dukani kumnunulia nguo , Kanye alikwenda kwenye duka la Jefffery department store na kumnunulia nguo mpya ambazo alimtaka mpenzi wake kuzivaa hapo hapo

Baada ya kumaliza kila kitu dukani hapo wawili hao walitoka nje na kuanza kukatiza mitaa ya New York huku wakionekana kuwa na furaha wakati wote

Katika wiki mbili hizi Kanye ameonekana kutaka kuongeza mapenzi kwa Kim ambapo teyari alishampeleka dukani na kumnunulia vitu seti 100

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging