Mfanyabiashara maarufu wa nchini Marekani, Adrienne Maloof
amesema huwa Napata tabu kila anapomuona mwimbaji Chris Brown,
Mallof ambaye ni mke wa mtu mwenye watoto wawili amesema
japo kuwa kijana huyo amekumbwa na matatizo ya kimapenzi lakini amekuwa
akimpenda kupita kiasi
Maloof alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa na waandishi wa
habari akitoka katika ukumbi wa disco kuhusu mapenzi yake Rihanna na Brown ,
mfanyabiashara huyo alianza kwa kulikwepa suala hilo lakini baadae alisema “nampenda
Chris Brown ni kijana mwenye kipaji cha hali ya juu watoto wangu wanampenda na
kupenda nyimbo zake