BOW WOW AWA MTANGAZAJI TV
Rapa Bow Wow ameanza kazi yake mpya ya utangazaji wa kipindi cha televisheni kinachotoa habari za muziki na kuhoji wasanii cha 106 & Park
Bow na mtangazaji mwezie Miss Mykie wamepewa kipindi hicho maarufu baada ya kumalizika kwa mkataba wa watangazaji waliopita Terrence J na Rocsi