CHRIS BROWN ATOKA PEKE YAKE
Msanii mwenye jina kubwa nchini Marekani, Chris Brown ameamua kusafiri kwenda katika mji wa Los Angeles, akiwa peke yake
Brown teyari ameshatangaza kuachana na mpenzi wake Karrueche Tran katika ukumbi mmoja wa Disko, ili aweze kuelekeza akili yake kwa rafiki yake Rihanna
Kauli hiyo ambayo imetafsiriwa kama Brown ameamua kufanya yote hayo ili aweze kuwa na Rihanna ambaye teyari inasemekana wamerudiana kimtindo
Mara kadhaa imeripotiwa wawili wamerejesha mahusiano yao kwa siri, pia kitendo cha Rihanna kutangaza bado anampenda kimezidi kumchanganya mkali huyo wa miondoko ya Pop