Google PlusRSS FeedEmail

BRANDY HAKUTARAJIA KUTAMBA TENA


Miaka 18 tangu alipotoa albam yake ya kwanza, veterani wa muziki wa R&B, Brandy amerejea na 'ngoma' kali zaidi ya kwanza katika kipindi cha miaka 10, 'Put It Down'


Lakini licha ya mafanikio hayo, kulikuwa na wakati Brandy hakufikiria kama angeweza kuja kufanikiwa tena katika muziki

"Nilifikiria hivyo nilikuwa ni kipindi cha giza kwangu kwa sababu unapokuwa nje ya njia yako na unashindwa kurejea unajiona umekwisha unakosa hamasa, unajiona umekwama kupata fursa ya kuwafikia tena mashabiki wako na kufurahia muziki pamoja nao, huku ni kubarikiwa" alisema Brandy (38)

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging