JUSTIN BIEBER AOGELEA NA PAPA
Msanii kinda Justin Bieber, ameamua kupiga moyo konde kwa kuingia kwenye bwawa ambalo lina samaki aina ya papa
Bieber 18, hakuwa peke yake katika bwawa hilo alikuwa na mrembo mwenye jina kubwa nchini Marekani Christina McLarty
Papa ni aina ya samaki ambao wamekuwa wakiogopwa na binadamu kutokana na kula nyama za watu na wanaweza kuua mtu kwa muda mchache, samaki hao wamekuwa wakiogopywa lakini kijana huyo mdogo aliamua kuingia na mrembo huyo kwa ajili ya kupiga picha za wimbo wake mpya