Google PlusRSS FeedEmail

DOGO FM AACHIA SINGLE YAKE MPYA IKIAMBATANA NA VIDEO YA SINGLE YAKE MACHUNGU

                 

Anajulikana kama,Dogo Fm,jina alilobatitwa na wazazi wake Frank Japhet,alianza muziki angali bado mdogo kwa sasa amefanikiwa kutoa single yake ya kwanza ambayo imeambatana na video yake mpya,inayojulikana kama Machungu..ngoma imetengenezwa Kiumbe Records chini ya Producer Masoud.. Kwa mujibu wa Dogo Fm mwenyewe amesema mashairi ambayo yako katika wimbo huo wake huo ni kisa cha ukweli kabisa ,kisa ambachi kimemtokea mwenyewe na kwa hivi sasa analelelwa na baba mwingine na makazi yake ameyahamishia Jijini Dar es salaama ...Kwa hivi sasa yuko katika harakati za kuachia track yake mpya Kisa mtoto wa Mganda.Chek na Video ya  Dogo Fm...

                    

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging