Google PlusRSS FeedEmail

SNOOP DOGG: MITT ROMNEY NI 'NIGA'


Rapa maarufu Snoop Dogg ameweka taarifa mtandaoni inayosomeka kwamba "kwa nini nisimpigie kura Mitt Romney"

Dogg aliandika sababu za kumchagua mgombea huyo wa urais wa chama cha Republican kuwa "jamaa ni 'Niga'akimaanisha mtu mweusi , mweupe pia ni shujaa"

Ujumbe huo unaonyesha kwamba kwa mara ya kwanza ulitoka kwenye mtandao wa @Dragobflylonez na baadae ukaelekea kwa Snoop ambapo iliongezwa sifa nyingine kwamba "jamaa ni Niga mweupe" anamaanisha kile anachozungumza

Aliongezea kuwa kila wakati amekuwa akizungumzia maisha ya watu wa hali ya chini vizuri kuliko inavyofikiliwa, hivyo naona afadhari kumpatia kura ya ndiyo

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging