KIM KARDASHIAN : NATAKA HARUSI YA KAWAIDA
Kim Kardashian amekuwa katika mchakato wa kuandaa harusi inayotarajiwa kufanyika katika moja ya visiwa maarufu duniani kama mwanamama huyo na mpenzi wake wa sasa Kanye West hawatabadili msimamo huo
Hii itakuwa ndoa ya pili kwa mwanamama huyo mwenye umri wa miaka 31 ambapo ya kwanza ilikuwa kati yake na mchezaji wa mpira wa kikapu Kris Humphries
Kardashiana alisema ndoa yake hii ya pili haitakuwa kama ile ya kwanza aliyoishi kwa muda wa siku 72 na Humhries