NEY WA MITEGO ANAPENDA TATOO ZA MAFUVU
Msanii wa muziki anayekuja juu Ney wa mitego amekuja na mpya wakati wa fiesta baada ya kuchora tatoo za aina yake na mashabiki wake kushindwa kuelewa ana maana gani
Ney alipohojiwa katika vyombo vya habari alisema mchoro hiyo ambayo ilikuwa mwilini kwani ni pendeleo lake na haoni vibaya
"Ninapenda tatoor za mafuvu hata nyumbani kwangu nina picha za mafuvu" alisema
Hivi karibuni wasanii wengi wamekuwa wakichora tatoo katika sehemu mbalimbali zikiwa na maana tofauti