Muziki ni kipaji ingawa wapo wanaokwenda kusomea lakini kipaji kikiongezewa elimu kiukweli kinatoka kitu cha maana sana. Kuna tangazo moja linasema Afrika ina vipaji lukuki ambavyo havikupata bahati ya kuvumbuliwa mpaka vikafa.Ukiangalia picha hii utaona hawa watoto wanaanza kuzoea stage performance wakiwa na umri mdogo jambo ambalo wanamuziki wetu wanalishindwa hivi sasa. Kuimba na kupiga chombo hasa gitaa ambalo linahitaji akili nyingi ni kazi kweli kweli jaribu kufikiria hawa watoto wangeendelezwa.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.