MWANAMUZIKI mkongwe wa miondoko ya taratibu Celine Dion kwa mara kwanza amewaonesha watoto wake mapachana.
Toka alipojifungua Oktoba 2010, mapacha Nelson na Eddy, hawakuwahi kuonekana hadharani.Lakini safari hii wameonekana wakiwa wakubwa Paris nchini Ufaransa akiwa na mume wake Rene Angelil.
Celine alikuwa nchini humo kwa ajili ya kufanya mahojiano ya kipindi maalum na kituo kimoja cha televisheni na alipomaliza walirejea nchini Marekani.