Google PlusRSS FeedEmail

GOLDIE WA BBA ATOKA NA AY, NAVIO, J MARTINS



Msanii wa Nigeria, Susan Harvey a.k.a Goldie aliyepata umaarufu kupitia shindano la Big Brother Africa 2012, ametangaza ujio wa albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la 'the Africa Invasion Album'

Albam hiyo yenye nyimbo 12 imeshirikisha wasanii kutoka katika nchi 12 za afrika Goldie kwa sasa anamaliza vitu vidogo vya mwisho kukamilisha albamu hiyo inayohusisha nyimbo tatu za albam hiyo anazoziita 'Naughty Singles'

Nyimbo hizo alizoziita 'Naughty Singles' zinazojumuisha wimbo 'Skibobo' aliyemshirikisha msanii AY wa Tanzania 'Miliki' aliyofanya na rapa Navio wa Uganda na 'Give it to Me'aliyeimba na mnigeria mwenzake J Martins

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging