LIK KIM ABWAGANA NA BOIFREND WAKE
Lil Kim amerejea hali yake ya kuishi mpweke (kuishi bila mpenzi), rapa huyu maarufu pia kama 'Queen B'alitangaza kwenye twitter kuwa yeye na mwanaume aliyemtaja kwa jina la Mr. Papers si wapenzi tena
"Kuanzia leo mimi na Papers tumeachana rasmi, hakuna bifu wala chuki " Kim aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter