RAY C AMSHUKURU JK
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Rehema Chalamila maarufu kwa jina la Ray C au 'kiuno bila mfupa' jana alimtembelea Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikuli Dar es Salaam na kumshukuru kwa msaada wa matibabu ambayo amemgharamia hivi karibuni