JUSTIN TIMBERLAKE AREJEA KWENYE MUZIKI
Mwaka 2013 unaonekana utakuwa mtamu sana ikiwa zaidi ya miaka sita tangu alipotoa albamu yake ya mwisho 'FutureSex Love Sounds' Justin Timberake ametangaza kurejea kwenye muziki
Muimbaji huyo ambaye hivi sasa ameoa teyariametoa video ikimuonyesha anazungukia maeneo ya studio huku akizungumzia albamu yake mpya ambayo inasubiliwa sana
Kwa mujibu wa Billboard Timberlake teyari ananyimbo zipatazo 20 mpya ambazo zimesharekodiwa kuna ripoti kwamba single ya kwanza ameshirikisha Jay -z na imeandaliwa na Prodyuza Timbaland