Google PlusRSS FeedEmail

KIM KARDASHIAN KUMPA OFA KEMKEM KUPITIA UJAUZITO WAKE



David Dginguerian ambaye ni muandaaji wa filamu ya 'Crossroad'anaanzisha tovuti itakayofikiwa na watu kadhaa itakayoitwa 'My Pregnance .com' ambayo kwa kuanzia itaanza kuweka taarifa za ujauzito wa Kim

Kutokana na dili hilo David amempa ofa ya dola 250,000 (sh. milioni 390)

Jamaa huyo amesema kuwa tovuti hiyo itakuwa inazalisha dola 100,000 kila mwezi ambao zitakuwa zikienda katika mfuko wa hisani

Ujauzito wa Kim umebainishwa kuwa utamuingizia kiasi cha dola milioni 10 kutokana na dili mbalimbali zikiwemo za televisheni kumuonyesha hatu kwa hatu hadi siku ya kujifungua

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging