Msanii maarufu wa miondoko ya mchiriku Omary Omary amefariki dunia
Msanii huyo wa miondoko ya mchiriku aliyewahi kutamba na nyimbo iliyokuwa ikijulikana 'kupata ni majaaliwa
Kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia hivi punde Omary aliyekuwa akisumbuliwa kwa maradhi muda mrefu alikuwa amelazwa katika hospitali ya Temeke lakini usiku wa kuamkia leo mwanamuziki huyo alifariki dunia