Rapa nyota kutoka Miami, Rick Ross hatimaye ameweka wazi jina la ujio wa albamu yake ya sita
Rapa huyo aliyenukuliwa kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, ambapo yeye alibainisha jina la albamu hiyo 'tentatively' lenye jina la 'Mastermind'
Cheo na jina liko chini ukilinganisha na majina ya awali ya albamu zake, ikiwa ni pamoja na majina yaliyoachiwa ya albamu hizo ni Port ya Miami, Trilla, Deeper Than Rap, Teflon Don na albamu nyingine ilibeba jina la Mungu husamehe . Wakati waandishi wa habari walipojalibu kufwatiria tarehe ya kutolewa kwa hiyo albamu ilikuwa haipatikani
Rick Ross ambaye alitakiwa kuitangaza jina la albamu hiyo siku ya mwaka mpya, lakini kwa sababu ambazo hazikupatikana kwa haraka alichelewa kutangaza mpaka leo alivyoitangaza mwenyewe